Bora yangekuwa ya kichwawi. Ni magoli ya M-PESA
Siwezi kukuzuia kujipa matumaini.
Na mtakoma msimu huu (na si msimu huu tu) bali misimu yote inayokuja mbele yetu.
Mabao ya M-pesa yatapigwa mpaka muamue kuhamia ligi ya Malawi mkashindane na wamakonde... [emoji23]
Usianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na Okwiiiiii
Tujikite Update ya Mkodisho FC na Ndanda FC sawa mkuu.!?
Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.
Vyura hovyo ....kununua mechi tu shnzyyy
Heeh.. Umeibuka, naona unaendelea na mipango yako nje ya uwanja
Umemleta mkata maji...! anaruka ruka tu haeleweki
Mnaonaje mamilioni mnayotumia kuwanunua kina Chirwa mngeyabakisha kwa ajili ya mpesa za kina Ndanda
Hivi vyura kama kweli nyinyi ni bora si tuone tofauti.Mpira gani pale,winga zinapita bila marking yeyote? Kina omary mponda huko mbele walisimama tu kama hawapo.Ndanda is Young and the like.Na kwa jinsi hii mtapigwa sana kimataifa.
Ngoja niongee na Hans Poppe ili amsajili haraka sana. Unaonaje?..... [emoji23]Hongereni ... Lakini huyo MTANGAZAJI mbona kama SHABIKI wenu..!?
Muda mwingine unaweza ukadhani kuwa umeponda kumbe umesifia
Kwa bandiko lako hapo juu linamaanisha kuwa ndanda alijua atafungwa goli si chini ya tano hivyo basi ili kukwepa aibu ikabidi watoe hongo ili wasifungwe goli zaidi ya tatu matokeo yake watu hela wamechukua na makubaliano wakavunja (wameshinda goli zaidi ta tatu )
So be careful unapotaka kukandia uwe unakandia huku ukitumia akili kufikiri na sio makalio
Pengine ilikuwa Jua kali sana hapo!Dah.... washabiki wenyewe wa Ndala FC hapa uwanjani hawana furaha sana kama ilivyozoeleka .. yaani mechi kama imetengenezwa vile
Hii mechi ina ukakasi mno
Mbona unajichanganya mara msimu huu, mara msimu huo au madeni yanakuvuruga..!?
Cha Ajabu msimu huu.
Wewe, Okwi na akina Hans Poppe mlichagua kuifunga Yanga SC bao 5....
Ila Yanga wakachagua kuwa Mabingwa wa msimu huo..
Hapa ndipo ile kaule ya yule Mwenyekiti aliyepita inadhihirika.
hahhaaa nadhani unafahamu wamelambwa ngapi.lada kam umekurupuka tuu kuja kweny huu uzi bila kuusoma....Chaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!
Babu hii Miamala haito isha!Chaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!
Yah.. Kama kawaida Mnyama mkali kuliko wote mwituni kesho panapo majaaliwaa anaingia katika rada zakeKesho mnyama anaunguruma mkae mkao wa kula[emoji23][emoji23]
Mikia bana Yanga akifungwa au akitoa droo nae anakuwa kauza mech?Vyura hovyo ....kununua mechi tu shnzyyy
umbeya kazi Sana utajikuta unakonda mkuu,kila yanga akishinda muamala,akishinda simba sawa.acheni roho mbaya huu mchezo hauitaji hasiraChaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!