Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

Bora yangekuwa ya kichwawi. Ni magoli ya M-PESA


Na mtakoma msimu huu (na si msimu huu tu) bali misimu yote inayokuja mbele yetu.

Mabao ya M-pesa yatapigwa mpaka muamue kuhamia ligi ya Malawi mkashindane na wamakonde... [emoji23]
 
Usianze historia hapa hutapata nafasi kwa maana unadaiwa 5-0 na Okwiiiiii

Tujikite Update ya Mkodisho FC na Ndanda FC sawa mkuu.!?



Cha Ajabu msimu huu.


Wewe, Okwi na akina Hans Poppe mlichagua kuifunga Yanga SC bao 5....


Ila Yanga wakachagua kuwa Mabingwa wa msimu huo..


Hapa ndipo ile kaule ya yule Mwenyekiti aliyepita inadhihirika.
 
Kwani si hawahawa Ndanda walitumwa kuzui simba waliposhindwa wakaenda kushtaki kwa kudai wapewe point? Au mmesahau hili ni tawi la mavyura.



Mbona unajitoa Ufahamu Mkuu?

Hivi kweli u aifuatilia vyema Klabu yako.

Klabu yako ni Tawi la Yanga SC (Rejea Historia ya Klabu yako ilivyoundwa)

Umetoka ubavuni mwangu kama Eva alivyotoka Ubavuni mwa Adam.

Mpaka sasa ungali tawi langu kwakuwa nimekuwa nikutumia wachezaji wako kwa kitambo sasa ambao wengi wao wamejizolea mafanikio wakiwa Yanga SC
 
Vyura hovyo ....kununua mechi tu shnzyyy



Sasa hapa huwaga nawashangaaga sana!

Kuna sababu gani ya Klabu yenu kashiriki Ligi ambayo wapinzani wako wananunua mechi na wewe unajupa matumaini kuwa utakuwa Bingwa kwenye Ligi ambayo wapinzani wako wanayonunua mechi zao?

Huo si ndio upunguani sasa. [emoji23]

Ningewaona wamaana sana kama mngegoma kucheza mechi za Ligi na kuwaambia TFF wawapeleke ligi Daraja la pili ambapo hakuna anayenunua mechi ili muwe Mabingwa.
 
Heeh.. Umeibuka, naona unaendelea na mipango yako nje ya uwanja

Umemleta mkata maji...! anaruka ruka tu haeleweki


Vipi Kotei amecheza game 2....... Vipi anaeleweka. Naona hana tofauti na Kigi Makasi

Mavugo naye? Vipi anaeleweka au naye anapaa paa.

Mechi laki 4 goli 3.
 
Mnaonaje mamilioni mnayotumia kuwanunua kina Chirwa mngeyabakisha kwa ajili ya mpesa za kina Ndanda

Nilidhani unasema kuwa tuwauzieni. Baada ya huyo wa kwenu kutupia bao chache katika mechi lukuki...

Lakini najua unajua kuwa huyu wa kwetu kacheza mechi chache lakini ana bao lukuki ukilinganisha na huyo wa kwenu.. [emoji23]
 
Hivi vyura kama kweli nyinyi ni bora si tuone tofauti.Mpira gani pale,winga zinapita bila marking yeyote? Kina omary mponda huko mbele walisimama tu kama hawapo.Ndanda is Young and the like.Na kwa jinsi hii mtapigwa sana kimataifa.



Sasa kama Bingwa wa Ligi anapigwa kimataifa, wewe kilaza wa ligi ungewezaje kushinda?

Au unamaanisha huyu Mavugo anayeshindwa kufunga dhidi ya Majimaji aweze kushinda dhidi ya Zamaleck..

Au kiwango cha utupiaji mabao cha msimu cha Kichuya ndio kinaweza kufua dafu dhidi ya wa huko kimataifa.


Au unamaanisha kuwa haya mabao ya kubahatisha bahatisha ya Mzamilu atayapata kirahisi sana akicheza na akina wa kimataifa?

Au unaanisha BLAGNON anayeshindwa kuonyesha makali yake huku Matopeni ataweza kufanya miujiza huko?

 
Muda mwingine unaweza ukadhani kuwa umeponda kumbe umesifia


Kwa bandiko lako hapo juu linamaanisha kuwa ndanda alijua atafungwa goli si chini ya tano hivyo basi ili kukwepa aibu ikabidi watoe hongo ili wasifungwe goli zaidi ya tatu matokeo yake watu hela wamechukua na makubaliano wakavunja (wameshinda goli zaidi ta tatu )



So be careful unapotaka kukandia uwe unakandia huku ukitumia akili kufikiri na sio makalio

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatumia Makalio kusifia!
 
Chaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!
 
Dah.... washabiki wenyewe wa Ndala FC hapa uwanjani hawana furaha sana kama ilivyozoeleka .. yaani mechi kama imetengenezwa vile

Hii mechi ina ukakasi mno
Pengine ilikuwa Jua kali sana hapo!

Ila huku Vibanda umiza wameng'oa hadi viti kwa furaha tu...

Wameiga swaga za watani zao. [emoji23]
 


Cha Ajabu msimu huu.


Wewe, Okwi na akina Hans Poppe mlichagua kuifunga Yanga SC bao 5....


Ila Yanga wakachagua kuwa Mabingwa wa msimu huo..


Hapa ndipo ile kaule ya yule Mwenyekiti aliyepita inadhihirika.
Mbona unajichanganya mara msimu huu, mara msimu huo au madeni yanakuvuruga..!?
 
Chaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!
Babu hii Miamala haito isha!

Tegemea miamala mingine zaidi mpaka muombe poooh kushiriki LigiKuu.

Tunataka mkashiriki SDL na wakina Lipuli. [emoji23]
 
Kesho mnyama anaunguruma mkae mkao wa kula[emoji23][emoji23]
Yah.. Kama kawaida Mnyama mkali kuliko wote mwituni kesho panapo majaaliwaa anaingia katika rada zake

Bila shaka ni timu ushindi tu..!
 
Chaneta FC Katika Ubora Wao Wa Kufanya Miamala! Leo Ndanda FC sijui Wameramba Ngapi!!!!
umbeya kazi Sana utajikuta unakonda mkuu,kila yanga akishinda muamala,akishinda simba sawa.acheni roho mbaya huu mchezo hauitaji hasira
 
Back
Top Bottom