Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

mpira unacheza hadharani, magoli ya bila kuvizia kipa ameumia

umakini mdogo wa yanga umefanya awe na goli 3 kwa nusu ya kwanza ila ukweli kulikuwa na goli 15

tusubiri nusu ya 2
 
Mkuu ulicheki game ya Simba na jkt?mpira ulikuwa mgumu ule gonga unaziona
Mkuu uwanja ulikuwa sio mzuri lakini kandanda lilikuwa safi

Lakini sisi Vyura FC kuna issue hapa haiwezekani mabao ya ajabu kiasi hiki
 
Hata shabiki wa Volleyball au wa mbio za magari anaweza sema ukweli wa hii mechi.TFF twangoja toka kwenu.
 
Simba tulieni muone soka la yanga,acheni porojo porojo
 
Goli la 3 offside ya wazi kabisa tifutifu waangalie hilo
 
Back
Top Bottom