[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Kajinyonge
Hii nihatari aiseeSimba walishanichefua pongezi sana na samahani kwa kuwatukana ila mnatutesa sana
Julius Malema akiwa Bungeni.Simba maskini hahahahah
View attachment 493821
Huyu golikipa wa Mbao vipi jamani?
Mpumbavu sana,anataka kutuharibia siku saa hizi.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]This is Simba, walioweka picha ya malema waweke ikiwa full time.... What a fucking come back
Mabingwa Yanga
Karibu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naserebuka mkuu,hakuna cha kuninyima furaha.
Bahati Yako HukubetUshindi wa simba leo ni droo.
My Nifah, what a comeback!Hahahahaaaaa pole sana rafiki yangu.