Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Wasije wakampa shutuma uyo kipa Manyika jr kuwa kachoma tu
 
Na bado,kanda ya ziwa akifanikisha sana nikuondoka na point moja pekee
 
Simba hawana plan,wanaendeshwa na mihemko. Hivi ufungwe na kagera,ushinde kwa mbao? Walipaswa kubadili mfumo. Kila mwaka wanatema ubingwa ovyo kabisa hawa simba koko.
 
Uvumilivu unataka kunishinda kila siku kufungwa tu ubingwa tunausikia sijui huu mwaka wa ngapi.

Nataka kuhamia upande wa jangwan mtanikaribisha? Maana hizi stress nimezichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…