damas mbondya
Member
- Mar 5, 2017
- 8
- 4
Wa tano naweka kumbukumbu sawa.Uvumilivu unataka kunishinda kila siku kufungwa tu ubingwa tunausikia sijui huu mwaka wa ngapi.
Nataka kuhamia upande wa jangwan mtanikaribisha? Maana hizi stress nimezichoka
Kimaa hichoDkk 78: Mbao 2 - Simba koko
Wapo kimyaaaaa utafikiri hakuna kinachoendelea
Mchwawi wa simba ni viongozi wake, akina pope, Haji, n.k. Wachezaji wa Simba hawana furaha kwenye klabu yao kwa sababu ya viongozi kuingilia moja kwa moja mambo ya kiufundithimbaa ni mdudu mdogo sana watafute mchawiiii
Poazzzzzz
Na bado,kanda ya ziwa akifanikisha sana nikuondoka na point moja pekee
Sikuiona aisee..Poazzzzzz
Yani hapa nasubiri mpira uishe niweke somo niserebuke hadi mwili wote uchoke hahahahaaaaa
Ni raaaaaaaaahhhhha
Hivi hukuona ile post ya Genta aliyotoa mkwara kuhusiana na hii game?
Hahahahaaaaa