Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Uvumilivu unataka kunishinda kila siku kufungwa tu ubingwa tunausikia sijui huu mwaka wa ngapi.

Nataka kuhamia upande wa jangwan mtanikaribisha? Maana hizi stress nimezichoka
Wa tano naweka kumbukumbu sawa.
 
Yani hawa simba ni kama vile mwokozi msalabani "eloi eloi lama sabachthani" yaniii "Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha"
 
thimbaa ni mdudu mdogo sana watafute mchawiiii
Mchwawi wa simba ni viongozi wake, akina pope, Haji, n.k. Wachezaji wa Simba hawana furaha kwenye klabu yao kwa sababu ya viongozi kuingilia moja kwa moja mambo ya kiufundi
 
Mamboozz...

Kama nakuona vile hilo tasabam...

Hao jamaa wako bize na Roma.

Mi namtafuta Katavi
Poazzzzzz

Yani hapa nasubiri mpira uishe niweke somo niserebuke hadi mwili wote uchoke hahahahaaaaa
Ni raaaaaaaaahhhhha

Hivi hukuona ile post ya Genta aliyotoa mkwara kuhusiana na hii game?
Hahahahaaaaa
 
Naipenda SIMBA mshabiki wa YANGAAAA........
Hahahaha..... hawa mbao wana mamboooo......
 
Huyu golikipa wa Mbao vipi jamani?
Mpumbavu sana,anataka kutuharibia siku saa hizi.
 
Poazzzzzz

Yani hapa nasubiri mpira uishe niweke somo niserebuke hadi mwili wote uchoke hahahahaaaaa
Ni raaaaaaaaahhhhha

Hivi hukuona ile post ya Genta aliyotoa mkwara kuhusiana na hii game?
Hahahahaaaaa
Sikuiona aisee..
 
Daah nahisi viashiria vya kubanwa na ngiri..Simba sijui kuna tatizo gani aisee..
 
Back
Top Bottom