Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Fukuza bench I lote la ufundi hawasaidii timu kuna sababu ipi ya kumuanzisha Manyika au kuwaacha nje mavugo na ajibu na mkude kwenye mechi crucial Kama hi?
Hao wote ni wachezaji wa Simba.
 
Dakika 7 za nyongeza? Hii ni fitna na wameshapata walichokuwa wanakitaka.
 
Yule beki aliyeumizwa Ndikumana ameigharimu sana mbao,dah!

Eeh Mungu saidia mpira uishe kwa sare hii.
 
Refa atakuwa mduan.zi.kwanini amalizi mpira
 
Labda zile 80M ndio zinafanya kazi sasa kama alivyosema HansPope.
 
kuna kamati ya Ufundi nini Simba hawezi kula Mninga dk 7 fitna tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…