Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Mbao FC 2 vs Simba SC 3 CCM Kirumba

Laana ya "Banda" inawatafuna Simba!!!

Mbao FC 2 - 0 Simba SC dk 40...
 
Poleni sana mikia fc, mnafungwa ba timu za kithenge thenge halafu mnataka mashindano ya kimataifa. Si mtaenda kutia aibu
 
Nawatia Moyo Simba mjitahidi mpunguze magoli yasifike 5 maana "Mbao" leo wanahamu na nyie mhh teh teh teh
 
Back
Top Bottom