Leo ndio leo,, watani wa jadi wanakutana katika mechi ya ligi kuu mzunguko wa pili, Yanga akiwa mwenyeji wa mchezo huu.
Yanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa kushinda katika mchezo wa leo huku ikizingatiwa tangu kocha Mwinyi Zahera aje Yanga haijawahi kupoteza mchezo wowote kwa idadi kubwa ya magoli. Kocha Patricks Aussem amekuwa na wakati mgumu na timu ya Simba baada ya kupata vipigo kadhaa mfululizo huku akipigwa goli 10 katika mechi 2 klabu bingwa.
UPDATES
kikosi YANGA :
Golini : Kabwili (17)
Ulinzi : Ninja (20)
Kiungo : Fei Toto (19)
Kikosi rasmi kinakuja muda sio mrefu
UPDATE
MIDA YA SAA 4 ASUBUHI JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYA USALAMA wanawakatalia wazee watatu wa Simba kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji hasa baada ya kushindwa kutoa maelezo wanaenda kufanya nini vyumbani humo