Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umekuwa kama mimi sasa. Sababu mechi ka hizi haipaswi kupitwa hata na kitu kimoja yaani kama Okwi anapigwa kanzu basi inatakiwa kuiona na si kuja kuhadithiwa. 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuwa kama mimi sasa. Sababu mechi ka hizi haipaswi kupitwa hata na kitu kimoja yaani kama Okwi anapigwa kanzu basi inatakiwa kuiona na si kuja kuhadithiwa. 😀😀
Simba ikishinda nakununulia marashi 15 ya Haji Manara Collection de' toilat'aibu itakayowakuta leo Yanga haitakuwa ya nchi hii.
Any way, mashabiki wenzangu wa simba hivi hakuna link ya mechi live? kama ipo tusaidiane hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haNakaribia kutoka. [emoji85][emoji85]
Ili niangalie. Ukiisha ndio narudi.
Cheka tu.Ha ha ha ha
Download app ya azam uangalie mkuuaibu itakayowakuta leo Yanga haitakuwa ya nchi hii.
Any way, mashabiki wenzangu wa simba hivi hakuna link ya mechi live? kama ipo tusaidiane hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweka bookingSimba ikishinda leo mwanajf mmoja aje HAWAII tukeshe [emoji8][emoji8][emoji8]
Simba mnafungwaMashabiki wote wa yanga wanasema mechi ngumu
Sisi simba tunasema washakaa
Ha ha ha Leo haijanyeshaMvua tu ikinyesha dagaa Yanga tumeumia ila kama haijanyesha Simba kwisha habari yake... Naomba mje mniprove wrong baada ya mechi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikimbie hapaaibu itakayowakuta leo Yanga haitakuwa ya nchi hii.
Any way, mashabiki wenzangu wa simba hivi hakuna link ya mechi live? kama ipo tusaidiane hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi kipana huko porini wakija mjini hamna upana wowote wanakuwa waoga tuIla Mikia bana. Yaani mbali na sifa za kikosi chao kwamba ni Bora, wanashindwa kuingia Uwanjani na sehemu iliyozoeleka wanapita kwenye kipembe. LOL
AIBU JAMAANI. CHAAAAA.
Akikucheki ni tag,