Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Nimekutafuta sana hatimae nimekupataKila la Kheri timu ya wananchi.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutafuta sana hatimae nimekupataKila la Kheri timu ya wananchi.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahaaaa. Unajua Weekend tena. mambo zinakuwa nyingi
Simu isiishe chaj kuna offer baada ya mechiHahaaaa. Unajua Weekend tena. mambo zinakuwa nyingi
1.Mikia fcMnyama mkali Simba sc tafuna hao vyura a. k. a
Mbute mbute fc
Makwasu kwasu fc
Omba omba fc
Bakuli fc
Malalamiko fc
Njaa fc
Mihogo fc.
Hahahaa. Usijali japo mpira ukianza nataka niangalie kwa utulive kabisa.
Hahahaa. Usijali japo mpira ukianza nataka niangalie kwa utulive kabisa.
Mnipage Updates basi.
We mrembo toka huko matopeni vyurani njoo huku kwa wakimataifa originaliYanga tuko imara
Shukrani sana nduguNimejibiwa ni saa kumi kamili ndugu
Nakaribia kutoka. 🙈🙈Upo humu leo enhee usikimbie
Nikitizama mechi huwa siwez kuchatHahahaa. Usijali japo mpira ukianza nataka niangalie kwa utulive kabisa.
Mnipage Updates basi.
Daaah nko mbali sana ila nimesave maneno yakoSimba ikishinda leo mwanajf mmoja aje HAWAII tukeshe [emoji8][emoji8][emoji8]