Wabariki waachee zaji waakee(kwa sauti ya kuimba mwimbo wa taifa),😀😀😀, Aamin Beef LasagnaMungu ibariki Simba.
Mpira wetu bado sana,, mipira inapotea hovyo hovyo, hakuna viungo wazuri wa kupiga pasi za mwisho, refa anaacha kutoa kadi kwa rafu zinazostahili kadi..zaidi sana timu.zetu.zinacheza mpira wa kufurahisha jukwaa, chenga, pasi fupi za hovyo.. tuwe na akademi nyingi za kuandaa na kuwakuza wachezaji ili waujue huu mchezo ipasavyo..mpira umebadilika sana ila sisi bado tunacheza soka la karne ya 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wako uwanjani na kideoni.waache kutazama mpira wabaki kukutangazia wewe?Kwakusoma hizi comment za humu inaonekana wazi mpira ni mbovu, ndio maana huwa siangaliagi mpira wa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha mama hizo bastola ni balaaa