Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

51583010_292493871431118_5460304844108371888_n.jpg
 
Mpira wetu bado sana,, mipira inapotea hovyo hovyo, hakuna viungo wazuri wa kupiga pasi za mwisho, refa anaacha kutoa kadi kwa rafu zinazostahili kadi..zaidi sana timu.zetu.zinacheza mpira wa kufurahisha jukwaa, chenga, pasi fupi za hovyo.. tuwe na akademi nyingi za kuandaa na kuwakuza wachezaji ili waujue huu mchezo ipasavyo..mpira umebadilika sana ila sisi bado tunacheza soka la karne ya 20.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwani umelazimishwa kutazama?
Tuwache sisi tutazame wewe kaangalie tu Rede inayochezwa vizuri.
 
Siku hizi JF hakuna watangazaji wa mpira? Nyoko kabisa nyie vijana!
 
Back
Top Bottom