Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Mpira wetu bado sana,, mipira inapotea hovyo hovyo, hakuna viungo wazuri wa kupiga pasi za mwisho, refa anaacha kutoa kadi kwa rafu zinazostahili kadi..zaidi sana timu.zetu.zinacheza mpira wa kufurahisha jukwaa, chenga, pasi fupi za hovyo.. tuwe na akademi nyingi za kuandaa na kuwakuza wachezaji ili waujue huu mchezo ipasavyo..mpira umebadilika sana ila sisi bado tunacheza soka la karne ya 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa kwa asilimia zote mkuu
 
Huu mpira gani sasa??..no speed,,yaani ni vipasi pasi tu
 
Back
Top Bottom