Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Mimi ni simba, tumeshinda ila sijavutiwa na mpira wa simba. Kama wewe umeona wanacheza mpira mzuri basi umepumbazwa na ushabiki.
Kua specific, kipindi cha kwanza kweli hakuna timu iliyocheza mpira mzuri, lakini kipindi cha pili simba wamecheza mpira mzri na ndo mana walitengeneza nafasi nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza niwapongeze watani kwa ushindi waleo ila pia nikili kwamba kama shabiki wa yanga nisingeweza kusema kwamba tutafungwa japo moyoni nilikuwa nafahamu tutafungwa kuanzia goli tatu nakuendelea.

Nipende kuwapongeza wachezaji na benchi la ufundi la timu yangu kwa kuipigania nembo ya timu kwa moyo mkubwa sana licha ya magumu tunayopitia kama timu, niwaombe mashabiki wenzangu wa yanga tuendelee kuchangia timu yetu kwa moyo mkunjufu kabisa, nivile tu uwezo wa kipesa sina kwa kiasi hicho ila ningekuwa nazo zakutosha nafikili leo ningewapa posho ya kutosha achilia mbali matokeo ya leo. Mungu ibariki yanga mungu tubariki wanayanga.
 
Leo ilikua zamu ya waarabu koko wa kariakoo @emmyta Sakayo espy habar zenu tunazo
Screenshot_20190212-180455.jpeg
 
Back
Top Bottom