Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

Unaona sasa mimi nilivyo muungwana wala sikukutania ulivyopigwa kumi?
Wewe kamoja tu jamani unanitoa roho?
Hahaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa!!NIVUMILIE MPENZI TU ngoja nishangilie tuu!!!wewe endelea kunionea hurumaa si unajua Dada ako nna wakati mgumu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wa Yanga wanaandaa rufaa kupinga ushindi wa Simba Feb 16, 2019.

Nadhani taratibu haziruhusu mchezaji mmoja kufunga goli moja kwa timu (Al Ahly) na kikundi chake cha ngoma (Yanga) kwa kutumia uwanja ule ule, wiki ile ile, mwezi ule ule, Mwaka ule ule, kipindi kile kile cha pili na kwenye goli lile lile.

Hii ni kama goli moja kuhesabika mara mbili, sheria haziruhusu. Haiwezekani goli moja lihesabike mara mbili kimataifa (al ahly) na ligi ya ndani (yanga).
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie msalimie baba mpe hongera.Najua baba yako ni Simba wewe tu umepotea njia.
Pole.

Sijapotea, nipo sehemu sahihi na sijawahi kujuta kuwa shabiki wa kutupwa wa Yanga.
Salamu zimefika, asante.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahaaa!!NIVUMILIE MPENZI TU ngoja nishangilie tuu!!!wewe endelea kunionea hurumaa si unajua Dada ako nna wakati mgumu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja ufungwe na JS Soura ndipo utakapotest your own medicine, leo siku yako jiachie while it lasts [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Let me tell u something bro ongezeni dua tuendelee kuwa na ukame wa pesa but trust me kwa kocha huyu ndo tuzishike pesa mkononi fc vita na wale warabu ambao kwa mechi mbili wamewapika viganja viwili kwetu watakuwa wanakula dozen.

Mliwahi kuwa na pesa kipindi cha Manji, mlifika wapi international level?

Siyo guarantee hiyo bosi, some coaches operate efficiently under small budgets.
 
Wachezaji waliopo kocha kawakuta sio matakwa yake ngoja asajili mwenyewe ndo mtaelewa mziki.
Mliwahi kuwa na pesa kipindi cha Manji, mlifika wapi international level?

Siyo guarantee hiyo bosi, some coaches operate efficiently under small budgets.
 
Timu inafungwa na kupoteza pointi zote tatu na bado mashabiki wa timu ya waliofungwa wanaridhika??? Basi kwa kweli Simba hawana mpinzani. Derby ni Derby tu ukifungwa lazima uumie.. unafurahia kufungwa? Basi Yanga washabiki wake wameridhika hadi kufungwa. Hakuna tena upinzani wa jadi.
Mapato ndio kipaumbele, hapo wanauhakika wakula leo jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom