Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Sijui yanga wanafuraia nini? Wamejitoa ufahamu kwamba simba bado inamechi nyingi na zakutosha kuipa ubingwa asubuitu? Wamesahau kwamba wao wamebakiza mechi 7tu ni hajabu kuchekelea simba wakati kwao ubingwa hawata upata hata kwa dawa.
Acha wafurahi tu mkuu.. pengine kuvua mashati ndio ukawa ubingwa wao msimu huu
 
Tofauti ya hizi timu mbili Ni kuwa Simba inapofungwa kocha wake anakubali matokeo na kuipongeza timu pinzani.
Yanga ikifungwa kocha wake hakubali matokeo na anaishutumu TFF na Clabu ya Simba, kwa kuifungisha timu ya Yanga.
Zahera kwenye kila mechi anawaza kushinda tu.
 
Kupata ubingwa kwetu siyo issue sana maana tumeisha uchukuwa sana tu, tena bila mizengwe kama mnayofanya ninyi. Tunataka bingwa apatikane kwa merits, siyo kubebwabebwa na tff na vyombo vyake.
Matusi yatawapa ubingwa...
Simba anabebwa , Yanga anashinda kihalali.
Ndio wimbo wenu.
 
Kupata ubingwa kwetu siyo issue sana maana tumeisha uchukuwa sana tu, tena bila mizengwe kama mnayofanya ninyi. Tunataka bingwa apatikane kwa merits, siyo kubebwabebwa na tff na vyombo vyake.
Kumbe Simba hajawahi kubeba?.. MALINZI FC bhana
 
Kupata ubingwa kwetu siyo issue sana maana tumeisha uchukuwa sana tu, tena bila mizengwe kama mnayofanya ninyi. Tunataka bingwa apatikane kwa merits, siyo kubebwabebwa na tff na vyombo vyake.
Magoli ya Tambwe ya mkono... utakuwa hujui maana ya kubebwa wewe
 
Leo imekuwaje kuwabeba?... Mmelishwa ujinga na Zahera mnasahau timu yenu haiko vzr msimu huu

Timu yetu haikuwa vizuri?? ni nani alikuambia hivyo?? Wewe unaamini kuwa timu yenu iko vizuri?? Kwa kuwa hujui undani wa mazingira ya soka ya Tanzania ndiyo maana unasema hivyo...Na kwa kuwa hujawahi kuongoza soka ya Tanzania ndiyo maana unasema hivyo...Sasa nakwambia hivi usipotoa chochote kwa marefa kwa maana ya refa wa kati na wasiaidizi wake wawili inakula kwako..Yaani nilazima utoe chochote ili marefa wachezeshe kinachoitwa 'fair'..vinginevyo utapigiwa filimbiza offside hata kama hakuna offside..Nyie mnaaminishwa kuwa kuna Zahera anawalisha ujinga Yanga..basi kaa hivyo hivyo na imani yako...Uamini pia kuwa timu yenu iko vizuri...Sasa nakwambia hivi timu ya Simba ya sasa ni ya kawaida sana....
 
Mechi kumi za CAF Champions League zimewamaliza Vibabu FC walidhani wamemaliza season.. Mtapigwa .
 
Simba niya kawaida sawa.. timu iliyochukua ubingwa msimu uliopita imeongeza watu wapya kama:..
CHAMA
KAGERE
ZANA
Na ndio timu iliyofika robo CAF CL, Sikatai hatuna udhaifu.. tunao , swala la kuhonga marefa atakuwa analifanya Simba tu sababu ya MO??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…