Timu yetu haikuwa vizuri?? ni nani alikuambia hivyo?? Wewe unaamini kuwa timu yenu iko vizuri?? Kwa kuwa hujui undani wa mazingira ya soka ya Tanzania ndiyo maana unasema hivyo...Na kwa kuwa hujawahi kuongoza soka ya Tanzania ndiyo maana unasema hivyo...Sasa nakwambia hivi usipotoa chochote kwa marefa kwa maana ya refa wa kati na wasiaidizi wake wawili inakula kwako..Yaani nilazima utoe chochote ili marefa wachezeshe kinachoitwa 'fair'..vinginevyo utapigiwa filimbiza offside hata kama hakuna offside..Nyie mnaaminishwa kuwa kuna Zahera anawalisha ujinga Yanga..basi kaa hivyo hivyo na imani yako...Uamini pia kuwa timu yenu iko vizuri...Sasa nakwambia hivi timu ya Simba ya sasa ni ya kawaida sana....