Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagera Sugar yaitandika Simba kwa magoli 2-1

Simba timu ya ovyo tu...timu nyingine zingekua zinakataa rushwa kama kagera basi simba angekua na point 35 tu
Yanga nayo ni timu ya ovyo sana Ilikuaje yanga akakubali rushwa??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji375][emoji375][emoji375]
Vya kupindua vipo vingi Tutapindua tutaongoza ligi na kuchukua kikombe

Kiporo cha leo ilikua ni mpango tukitupe kwasababu kesho pasaka so tumeacha ili tupate apetaiti ya kesho
 
Kuumbe. Ushasahau mwaka jana ile game ya mwisho alikufanya nini.

Shabaha anayo sana kwako Kagera.
Darasani mwalimu anaweza akakupa quiz,, katika maswali kumi ukapata nane mawili ukakosa halafu mwalimu akakusaishia na akakuwekea vema hapo anakupa moyo kua ongeza bidii sio kwamba umefaulu

Hicho ndicho tulichomfanyia kagera
 
Huo utajiri upo kwenye mfuko wa Mo siyo Simba
Wewe utajiri wa yanga unanufaika nao kivipi??

Hata utajiri uwe wa simba mimi na nufaika nao kivipi??

Hapa ishu ni burudani na kyona timu yako ikifuzu na kutusua sio kuona timu inachangisha kama majitoleo

Chamsingi hapo ni burudani kutoka kwenye timu yangu nayo ipenda iweze kunifurahisha kwasababu mpira ni burudani
 
Back
Top Bottom