severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
YIWEEEE!!Sisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YIWEEEE!!Sisi walituita KAMWENE nawaza tu tuwaiteje hawa Mikia. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yanga nayo ni timu ya ovyo sana Ilikuaje yanga akakubali rushwa??Simba timu ya ovyo tu...timu nyingine zingekua zinakataa rushwa kama kagera basi simba angekua na point 35 tu
Wanakiita Mv Magogonilabda apindue kivuko cha posta
Swaiba nenda kapike Kwanza maana naona umetawala jukwaaWanakiita Mv Magogoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuuKwani kimetokea kitu gani??? mbona comments humu sizielewi??!!
Mikia wamekung'utwa Mbili[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kimetokea kitu gani??? mbona comments humu sizielewi??!!
Huo utajiri upo kwenye mfuko wa Mo siyo SimbaTimu ya simba inautajiri wa bilion na point zake hivyo wanaitwa mabilionea
Nyinyi mnautajiri wa buku tuwaite kina nani?
Kuna mtu kakalishwa huko. Mtandao ulikuwa chini hivyo kaangukia pua.Kwani kimetokea kitu gani??? mbona comments humu sizielewi??!!
Dadaaaa. 🙈🙈 Sijambo sijui wewe?Hujambo we mtoto[emoji85][emoji85][emoji85]
Ewaaaaaa. 😅😅tuwaite sukari ya KK
Vya kupindua vipo vingi Tutapindua tutaongoza ligi na kuchukua kikombe
Kiporo cha leo ilikua ni mpango tukitupe kwasababu kesho pasaka so tumeacha ili tupate apetaiti ya kesho
😅😅😅😅Kweli Miwa hainaga Kiporo
Hawa Kagera sugar msimu wa 3 huu wanaifunga Simba
Darasani mwalimu anaweza akakupa quiz,, katika maswali kumi ukapata nane mawili ukakosa halafu mwalimu akakusaishia na akakuwekea vema hapo anakupa moyo kua ongeza bidii sio kwamba umefauluKuumbe. Ushasahau mwaka jana ile game ya mwisho alikufanya nini.
Shabaha anayo sana kwako Kagera.
Asanteni sana Kagera sugar [emoji28][emoji28][emoji28]Ft
Kagera 2 - 1 Simba
Naondoka muda si mrefu swahiba. Bado dkk chache tu nikalale. 😀😀Swaiba nenda kapike Kwanza maana naona umetawala jukwaa
🤣😂🤣😂 mikia leo wamepigwa katerero moja matata sana.Mpira umekwisha Dada.
Wewe utajiri wa yanga unanufaika nao kivipi??Huo utajiri upo kwenye mfuko wa Mo siyo Simba
😂😂😂😂 halafu kama hawapo leo. Wametulia tuli.🤣😂🤣😂 mikia leo wamepigwa katerero moja matata sana.