Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Shadeeya ongezeni dau tuwaachie goli moja japo mtoe droo ya kabati hamtaki pointi moja wapendwa? maana naona vyura wana zama zama vyura
 
Ni
Nimependa unavyouelezea mtanange huu, kila la heri Lipuli FC
 
Ni Jambo la aibu sana taifa kuwa na bingwa kama ýanga, hawa jamaa mpira hawajui aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…