Hahaaa. Umekuwa Van pebles anadai kuangalia mpira na kuchat huwa haviendi etii.Asante, tulikuwepo tunafatilia mtanange kwa ukaribu zaidi.
kuiombea mabaya simba ni sawa na kumuombea njaa bilgates na mo dewji,
Kivipi mtani nieleweshe kidogoGhazwat kama nakuona Mtani. Na kesho siku ya kazi. Duuh
Eti mechi za mazoezi. Mmmh.Asante Mtani, unajua hizi mechi za mazoezi inabidi uwe makini kuangalia details zote ili kama kuna makosa yarekebishwe. Wale waraabu hatutaki kuwaacha.
Yaani mkishinda ka hivi hatunywi maji huko maofisini wale Watani zetu kila utakapopita ni habari za Simba tu.Kivipi mtani nieleweshe kidogo
Eti mechi za mazoezi. Mmmh.
Haya bana Mtani. Ila kule Algeria mjipange hasa.
Dada nakusalimia. Umemuona MeddieYaani mkishinda ka hivi hatunywi maji huko maofisini wale Watani zetu kila utakapopita ni habari za Simba tu.
Halafu we Mdogo hii tabia umeanza lini?Dada nakusalimia. Umemuona Meddie
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Eeeenhh.Simba imekuwa Tamu kama sukari guru
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Dada mzee anafanya wasiyoweza kufanya vijana.Halafu we Mdogo hii tabia umeanza lini?
Au ndio ulikuwa unapumulia mashine nini mpaka mpira umekwisha ndio ukapata ahueni.
Namuona Mzee yule.
Hahaaa. Uje kuyasema haya baada ya mechi na Waarabu Mtani. Usije yakataa tu hasa pale mtakapopangwa.Wao ndo wajipange, maana wanaujua mziki wetu. Hatopoi sisi.
Au Ice cream dadaEeeenhh.
Dada sisi ndo kiboko ya mwarabuHahaaa. Uje kuyasema haya baada ya mechi na Waarabu Mtani. Usije yakataa tu hasa pale mtakapopangwa.