Ligi Kuu Tanzania Bara | Samora Stadium: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

Dada nakusalimia. Umemuona Meddie

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Halafu we Mdogo hii tabia umeanza lini?

Au ndio ulikuwa unapumulia mashine nini mpaka mpira umekwisha ndio ukapata ahueni.

Namuona Mzee yule.
 
Dada mzee anafanya wasiyoweza kufanya vijana.

Nilikuwa najenga taifa la Meko ndo nimerudi.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Hahaaa. Uje kuyasema haya baada ya mechi na Waarabu Mtani. Usije yakataa tu hasa pale mtakapopangwa.
Dada sisi ndo kiboko ya mwarabu

Back
Top Bottom