Ooh. Umerudi muda mzuri sana mdogo wangu. 😅😅Dada mzee anafanya wasiyoweza kufanya vijana.
Nilikuwa najenga taifa la Meko ndo nimerudi.
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Mwarabu yupi Mdogo wangu? Yule wa KHAMSA au? 😜Dada sisi ndo kiboko ya mwarabu
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Utalala Mei Dada kwa sasa kila mtu ashinde mechi zakeOoh. Umerudi muda mzuri sana mdogo wangu. [emoji28][emoji28]
Nawaona nawaona Mikia mnavyotunyima usingizi.
Huyohuyo muhimu Point 3Mwarabu yupi Mdogo wangu? Yule wa KHAMSA au? [emoji12]
Wacha Weee. Kila kitamu ni Simba mwaka huu. Duuh.Au Ice cream dada
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Matokeo mabaya yatoke wapi ?Wacha Weee. Kila kitamu ni Simba mwaka huu. Duuh.
Mukija kupata matokeo mabaya pia mujiite vivyo.
Simba Tunafyonza na kunyonya wakati mmoja
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Simba SC, leo Februari 26, 2019 wanashuka dimbani wakiwa ni wageni kumenyana na Lipuli FC katika mchezo wa marudiano wa raundi ya pili msimu huu 2018/2019
Mchezo huo unapigwa katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa majira ya saa kumi za jioni
======
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Lipuli FC: Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mohamed Hussein, Yusuph Mlipili, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin,Clatous Chama, John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi
Benchi la Simba: Deo Munishi, Asante Kwasi, Hassan Dilunga, Said Ndemla, Haruna Niyonzima, Rashid Juma na Adam Salamba
Kikosi cha Lipuli kitakachoanza; Yusuph Mohamed, William Gallas, Paul Ngalema, Ally Sonso, Haruna Shamte, Fred Tangulu, Seif Karihe, Jimmy Shoji, Paul Nonga, Daruwesh Saliboko na Steve Mganga
Benchi la Lipuli; Abdallah Makangana, Novalty Lufunga, Shaban Adda, Issa Rashid, Ibrahim Job, Keneth Masumbuko na Mussa Nampaka
UPDATES:
FT: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC
>>> Ni patashika katika dimba la Samora mjini Iringa, Simba wanaanza na bao likifungwa na Clatous Chama dakika ya 6.
>>> Lipuli FC wanasawazisha dakika ya 18 kupitia kwa Paul Nonga.
>>> Ni yule yule Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama anaingia tena kimiani na kuipatia Simba goli la 2 mnamo dakika ya 44
View attachment 1032721
>>> Meddie Kagere anaifungia Simba bao la tatu dakika ya 58.
View attachment 1032731
Hahaaa. Uje kuyasema haya baada ya mechi na Waarabu Mtani. Usije yakataa tu hasa pale mtakapopangwa.
Nimependa signature yako.Huyohuyo muhimu Point 3
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Huyu Terminator Meddie Kagere hafai hata kidogo.
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Eti mechi za mazoezi. Mmmh.
Haya bana Mtani. Ila kule Algeria mjipange hasa.
Wacha Weee. Kila kitamu ni Simba mwaka huu. Duuh.
Mukija kupata matokeo mabaya pia mujiite vivyo.
mtakunywaje maji wakati mo fire zimejaa tele mtaniYaani mkishinda ka hivi hatunywi maji huko maofisini wale Watani zetu kila utakapopita ni habari za Simba tu.
Huyu Kijana yuko sirias sana ,Mtu wa kazikazi.. Namkumbuka Msimu uliopita yeye na Erasto Nyoni pale nyuma Tukapata Ubingwa na kuwashika Koo Al MasryWadau mnaelezaje kiwango cha Mlipili???Kwangu Mimi amefanya kazi nzuri kutokuonyesha udhaifu ingawa hajacheza game nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga anaongoza ligi au anaongoza kucheza goli nyingi? Ukipatia jibu nakupa zawadi nzuuuuriYaani mkishinda ka hivi hatunywi maji huko maofisini wale Watani zetu kila utakapopita ni habari za Simba tu.
Makambo akalale tu hana jipyaKagere mechi 16 goli 12, Makambo mechi 25 goli 12. aka Terminator aka Konk Master aka MK14
Tulikuwa busy kufanya muamala kwa Selemani Matola na RefaKaka zangu OKW BOBAN SUNZU na King Ngwaba mko wapi?