Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
LIVE VIDEO:



UPDATES:

Mpira umeanza dak ya 2 sasa

Kona ya kwanza kwa simba inaokolewa na JKT Ruvu. Mpira umetulia wanacheza kwa kuonana Simba wakionesha kuwa na kasi na pia JKT Ruvu wakiwa wametulia langoni mwao.

Dk ya 27 simba wanagongeana vizuri kabisa lakini kipa wa jkr anakuwa makini kuuwah mpira usifike kwa mavugo.
 
Kipa wa JKT Ruvu anaokoa mpira toka kwa kichuya inakua kona.
 
galafu wanaonekana hawako fit wanaanguka anguaka hovyo...
 
Kila la kheri chama langu msimbazi
 
Back
Top Bottom