Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

TK master utakuja kutuulia
mzee wetu Onyango
 
U17? kwanini hamjashinda sasa? au ngoja tukuulize ni timu gani imetengeneza clear chances nyingi kati ya Yanga na Simba ?
Chances hazitoi muelekeo wa mchezo. Yanga walipaki bus, na hata kocha wao amekiri kuwa ndio maelekezo yake


 
Chances hazitoi muelekeo wa mchezo. Yanga walipaki bus, na hata kocha wao amekiri kuwa ndio maelekezo yake


View attachment 1622695
Kupaki basi ni mbinu za ushindi pia. Au ukuona namna yanga walivyokuwa hawataki mambo mengi ya kuweka urembo rembo na nakshi nakshi kwenye mpira, wao wakiupata mpira ni basi kadhaa wapo golini kwa Simba. Walikuwa wanashambulia kwa kasi ya ajabu
 
Bahati yenu mikia fc, zile pressing za kipindi cha kwanza tungewapigia kipindi cha pili mngekaa mapema sana. Hongereni Yanga kwa kiwango cha Derby

Simba wanashangilia Draw huku mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…