Kiukweli, simba wanawapa radha ya mpira washabiki wao, hata kama wangepoteza hii mechiNguvu ya refa tumeionaaa.
Wana
1. Jiamini
2. Hawana hofu
3. Wana miliki mchezo
4. Kisaikolojia wako vizuri
5. Wanajua majukumu na uchu wa mashabiki wao
Mwisho: mgogoro ulioko kwenye timu uishe, mashabiki wanahitaji mpira biriani na ushindi