Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Wewe umeona kama mimi kwa harakaharaka unaweza kumlaumu Onyango au refa kwa kutoa penati isiyo halali ila wengine wa kuwalaumu ni benchi la ufundi hivi huwa hawaoni makosa ya Mzamiru
Lawama kwa kocha, kashindwa kuona tatizo hili, mie kwangu mwalimu mbovu wa sub sio kocha kabisa kabisa, anakuwa anashindwa kuendana na game, yeye ni mzuri plan yake ikifanya kazi, ikigoma kutokana na mbinu za mpinzani, hana ujanja.
 
Mkuu ukiondoa Fraga hakuna mchezaji mwingine Simba anayecheza nafasi hiyo kwa ufasaha....
Maana aliyebaki ni Ndemla ni wale wale na Mzamiru...
 
Mkuu ukiondoa Fraga hakuna mchezaji mwingine Simba anayecheza nafasi hiyo kwa ufasaha....
Maana aliyebaki ni Ndemla ni wale wale na Mzamiru...
Bwalya anaweza kuifanya kazi hiyo, kahata anaweza kuifanya kazi hiyo. Hao ni box to box wazuri sana, wana sifa za ziada ambazo mchezo ulikuwa unahitaji kuliko mzamiru, mzamiru alifeli kufanya kazi yake katika nusu ya wapinzani.
 
Pira mpapaso ...kikosi chetu ni sawa na kina ahly ahly
Aliskika sope mmoja
 
Bwalya anaweza kuifanya kazi hiyo, kahata anaweza kuifanya kazi hiyo. Hao ni box to box wazuri sana, wana sifa za ziada ambazo mchezo ulikuwa unahitaji kuliko mzamiru, mzamiru alifeli kufanya kazi yake katika nusu ya wapinzani.
Vipi kuhusu defensive...
Mkuu? Bwalya na kahata wanaweza?
Au unataka uone vituko vya mkude
 
Vipi kuhusu defensive...
Mkuu? Bwalya na kahata wanaweza?
Au unataka uone vituko vya mkude
Mkude mbovu mkiwa mnashambuliwa mnooo, kwa leo njia nzuri ya kuwazuia yanga ilikuwa ni kumiliki sana mpira, kupata midfielder wa kuwavuruga vuruga viungo wa yanga.. Midfielder ambae anabeba mpira, anafukia mashimo, anakokota hatua kadhaa kwenda mbele, anamrahisishia kazi chama.
 
siku nikiacha kuwa na interest ya soka la bongo sababu itakuwa refa
Kama yule refa wa juzi mlivyocheza na kagera alivyofunika tuta la dilunga,hlf ushasahau last season match ya kwanza mlipewa tuta km lile nje ya 18 kagera akajifanya kaangushwa na yondani
 
Back
Top Bottom