Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

90+2'

Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa Mkapa..Kuna kitu kinatafutwa hapa uwanja wa Mkapa

Bado sekunde chacheeee refa anaangalia saa

Naaaam mpira umekwishaaaa. Ni wenuuu Ghazwat

Yanga SC 1-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom