Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

66' Simba SC wakimiliki mpira hasa kipindi hiki, huku wakijaribu kupenya kufikia lango la Yanga
 
68' anatoa Sarpong na anaingia Yacouba
 
66' Simba SC wakimiliki mpira hasa kipindi hiki, huku wakijaribu kupenya kufikia lango la Yanga
Yeah, simba wanashambulia kama nyuki, ila Yanga wako vizuri kuzuia
 
Namna gani Simba wanashindwa kuandika bao..Ilikuwa nafasi bomba kabisa
 
80' Simba wanawashambulia Yanga SC kama nyuki..woote wako nyuma wakimuacha Yacouba pekeee
 
Waweke mpira kati haraka wawapige la pili. Hakuna muda wa kushangilia
 
Wanashambuliwaaaaaaaaa Yanga..Wamepaki basi
 
Back
Top Bottom