Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, simba wanashambulia kama nyuki, ila Yanga wako vizuri kuzuia66' Simba SC wakimiliki mpira hasa kipindi hiki, huku wakijaribu kupenya kufikia lango la Yanga
80' Simba wanawashambulia Yanga SC kama nyuki..woote wako nyuma wakimuacha Yacouba pekeee
naniGoooooooooooooooaal
Mpira una tokeo moja kati ya matatu.Tatizo mpira una matokeo 3[emoji849]
Vipi nikupe jibu lako au nisubirie mpaka gemu liishe kabisa?Anza kuvua kabisa.
Wanalindiana heshimaGoooooooooooooooaal Goooooal
Simba wanasawazisha kupitia kwa beki Onyango
Yanga SC 1-1 Simba SC