blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Ni penati na huyo kima ilibidi apewe straight red
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni penati na huyo kima ilibidi apewe straight red
Lawama kwa kocha, kashindwa kuona tatizo hili, mie kwangu mwalimu mbovu wa sub sio kocha kabisa kabisa, anakuwa anashindwa kuendana na game, yeye ni mzuri plan yake ikifanya kazi, ikigoma kutokana na mbinu za mpinzani, hana ujanja.Wewe umeona kama mimi kwa harakaharaka unaweza kumlaumu Onyango au refa kwa kutoa penati isiyo halali ila wengine wa kuwalaumu ni benchi la ufundi hivi huwa hawaoni makosa ya Mzamiru
Ngoja niwaulize wale majjaji Sita wa mahakama ya rufaa ya TFF.. Bora kusingekuwa na yule mwamuzi wa goliniSorry kwa kuhamisha maada wakuu, et kisheria inakuwaje kama nikimpiga mtu risasi Kigoma akaenda kufia Dar!?
Mkuu ukiondoa Fraga hakuna mchezaji mwingine Simba anayecheza nafasi hiyo kwa ufasaha....Lawama kwa kocha, kashindwa kuona tatizo hili, mie kwangu mwalimu mbovu wa sub sio kocha kabisa kabisa, anakuwa anashindwa kuendana na game, yeye ni mzuri plan yake ikifanya kazi, ikigoma kutokana na mbinu za mpinzani, hana ujanja.
Kwa hisani ya marefa?Mpaka sasa timu pekee Duniani ambayo haijapoteza mechi ni Yanga
Azam kapoteza mechi ila anaongoza ligiKwa hisani ya marefa?
Azam na mwenzie Utopolo wametushikia nafasi kwa mda...Azam kapoteza mechi ila anaongoza ligi
Anafikiri kutofungwa ndio kutwaa ubingwa.Azam na mwenzie Utopolo wametushikia nafasi kwa mda...
Watajua wao nani awe wa pili ni swala la mda tu.
Ndoto la kutisha hilo... uwe unaweka kiatu usawa wa kichwa uvunguni mwa kitanda hutopata ndoto mbaya... tenaNiliota simba kafungwa mechi hii
Bwalya anaweza kuifanya kazi hiyo, kahata anaweza kuifanya kazi hiyo. Hao ni box to box wazuri sana, wana sifa za ziada ambazo mchezo ulikuwa unahitaji kuliko mzamiru, mzamiru alifeli kufanya kazi yake katika nusu ya wapinzani.Mkuu ukiondoa Fraga hakuna mchezaji mwingine Simba anayecheza nafasi hiyo kwa ufasaha....
Maana aliyebaki ni Ndemla ni wale wale na Mzamiru...
Vipi kuhusu defensive...Bwalya anaweza kuifanya kazi hiyo, kahata anaweza kuifanya kazi hiyo. Hao ni box to box wazuri sana, wana sifa za ziada ambazo mchezo ulikuwa unahitaji kuliko mzamiru, mzamiru alifeli kufanya kazi yake katika nusu ya wapinzani.
Mkude mbovu mkiwa mnashambuliwa mnooo, kwa leo njia nzuri ya kuwazuia yanga ilikuwa ni kumiliki sana mpira, kupata midfielder wa kuwavuruga vuruga viungo wa yanga.. Midfielder ambae anabeba mpira, anafukia mashimo, anakokota hatua kadhaa kwenda mbele, anamrahisishia kazi chama.Vipi kuhusu defensive...
Mkuu? Bwalya na kahata wanaweza?
Au unataka uone vituko vya mkude
Pira biriani bila magoli sijui tuiteje
Mnyero unashangilia droo hapo ulipoHii game ni ngumu upande wa UTO na huenda akapoteza au wakafungwa na Simba SC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama yule refa wa juzi mlivyocheza na kagera alivyofunika tuta la dilunga,hlf ushasahau last season match ya kwanza mlipewa tuta km lile nje ya 18 kagera akajifanya kaangushwa na yondanisiku nikiacha kuwa na interest ya soka la bongo sababu itakuwa refa