Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Nguvu ya refa tumeionaaa.
Kiukweli, simba wanawapa radha ya mpira washabiki wao, hata kama wangepoteza hii mechi

Wana
1. Jiamini
2. Hawana hofu
3. Wana miliki mchezo
4. Kisaikolojia wako vizuri
5. Wanajua majukumu na uchu wa mashabiki wao

Mwisho: mgogoro ulioko kwenye timu uishe, mashabiki wanahitaji mpira biriani na ushindi
 
Mgogoro gani tena.hapo ndo umeharibu

Kifupi mzamiru ndio tatizo game ya leo, huenda ndio akawa mchezaji aliepoteza mipira mingi zaidi, ukiwemo ule wa goli tulilofungwa.. Unapocheza 4-2-1-3, katika wale viungo wa chini inabidi upate box to box midfielder, sasa shughuli hiyo muzamiru haiwezi, kama angeingia kahata labda angeenda kufanya kazi hiyo na sio kumtupa winga kule ambako wanammaliza kiwango chake tu.
Kahata siyo box to box midfielder ni central attacking midfielder nafasi anayocheza Chama na Ajib.

Ni heri wangemtoa Mzamiru na kuingia Ndemla au Miraj Adam then Bwalya arudi kwenye nafasi ya Mzamiru.

But all in all hakumtoa Mzamiru kwa sababu anakaba kuliko Mkude, Ndemla na hao wengine.
 
Kabisa..

Mzamiru ni kiungo punda
 
Inasemekana CHAMA kagoma kusaini mkataba mpya na anataka kuondoka; Pengine ni sababu ya jazba za Hans Pope baada ya mechi ya jana!
 
Kahata siyo box to box midfielder ni central attacking midfielder nafasi anayocheza Chama na Ajib.

Ni heri wangemtoa Mzamiru na kuingia Ndemla au Miraj Adam then Bwalya arudi kwenye nafasi ya Mzamiru.

But all in all hakumtoa Mzamiru kwa sababu anakaba kuliko Mkude, Ndemla na hao wengine.
Kwa aina ya mpira wa kahata anaweza kucheza CM, ambae jukumu lake pekee lingekuwa kuchukua mpira pale, kusogea nao mita 30,25 ya wapinzani, sababu walikbali kupaki basi, kuwa na mtu anaekaba sana kuliko kushambulia wakati wapinzani wameamua kukaa chini ni uamuzi mbovu, ndio maana nikasema kahata anafaa kwa jukumu hilo.

Sub ilikuwa ni huyu huyu mzamiru, aingize winga moja kisha bwalya akacheze pale na mkude.
 
Kahata pia ni mzuri kukaba sema huyu kocha kaja kuua viwango vya wachezaji Simba Rashid Juma alimuweka benchi muda mrefu mpaka akaomba aondoke
 
Mkuu Kocha huwa haui Viwango vya wachezaji, ni juhudi za player husika.
Ndemla kasota sana Leo anacheza.
Mzamiru vile vile kuna mda alipotea ila now karudi.
 
Mzamiru vile vile kuna mda alipotea ila now karudi

Mkude mbovu mkiwa mnashambuliwa mnooo, kwa leo njia nzuri ya kuwazuia yanga ilikuwa ni kumiliki sana mpira, kupata midfielder wa kuwavuruga vuruga viungo wa yanga.. Midfielder ambae anabeba mpira, anafukia mashimo, anakokota hatua kadhaa kwenda mbele, anamrahisishia kazi chama.
Bwalya walimpeleka mbele plan ilikuwa mbovu sana alitakiwa akae kati apunguze wachezaji
 
Mkuu Kocha huwa haui Viwango vya wachezaji, ni juhudi za player husika.
Ndemla kasota sana Leo anacheza.
Mzamiru vile vile kuna mda alipotea ila now karudi.
Haka kakocha kamekuja kuongeza cv Simba si ajabu kina Hans pope watakuwa wanampangia nani acheze na nani asicheze Simba inahitaji kocha mzoefu siyo huyu anayeogopa kufanya sub hata kama mchezaji anaboronga
 
Mkuu Mimi na muono wa tofauti juu ya huyu kocha.
Naona Simba inacheza soka la burudani sana.
Kiufupi sina tatizo naye.
 
Mgogoro gani tena.hapo ndo umeharibu
Mkuu, sijaharibu, ni ukweli. Ndio mana hata leo Hans ameitaka klabu ya simba kufanya uchunguzi kwa wachezaji waliocheza chini ya kiwango!

Nikuhakikishie kuwa ni kweli kuna ka mgogoro kanafuka toka ndani ya Clab yetu pendwa!
 
Kahata pia ni mzuri kukaba sema huyu kocha kaja kuua viwango vya wachezaji Simba Rashid Juma alimuweka benchi muda mrefu mpaka akaomba aondoke
Kuja kocha mpya katika timu huwa anakuja na mambo mapya wengine, wanafifia, wengine wanainuka.

Kwa vyovyote vile bado kahata ni mchezaji mzuri, game ya jana ilimuhitaji, yaani alihitajika midfielder mmoja wa kuwasambaratisha maadui, mtengeneza mashambulizi, mwenye kuiendesha timu.
 
Back
Top Bottom