Yanga ikishinda mi najing'ata mgongo
1-0Ngapi ngapi huko?
Utakuwa mikia weweBado 0-0
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtani unasema ile penalty umeonewa ngoja VAR ijeeeeeeeeeeeeIle sio penalt ni nje ya kumi na nane kabisa.
Ilitakiwa iwe free kick na Red card kwa Onyango alikuwa mlinzi wa mwisho.