Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 735
msimu huu kwa kweli mgumu sana.
hizo tutakuwa tunatimiza ratiba maana kikombe tutakuwa tumeshachukua siku nyiiiingi
Daaah wakuu tutakuwa wageni wa nani Simba
Hongereni
Daaah wakuu tutakuwa wageni wa nani Simba
Tuanze kuiombea Simba isishuke daraja. Hata Pan Afrika na Nyota Nyekundu ilikuwa utani utani hivi hivi lakini sasa imebaki historia. Tusiwapoteze wekundu wajameni...
Msimu uliopita ilikuwa nguvu ya soda tu, muda si mrefu wataungana na ndugu zao Tukuyu Stars na MECCO.............MCC mpunguze kelele sasa.
Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.
Mtani, msimu upi kwenu ulikuwa mzuri?hebu nikumbushe mtani. Mi nnachojua nyie kila mwaka mna kauli yenu kuwa mnajenga timu,sasa timu inayojengwa kila mwaka sijui timu gani hiyo.
Daaah wakuu tutakuwa wageni wa nani Simba
Tutawasimamisha
Daaah wakuu tutakuwa wageni wa nani Simba
point sana hii, tutakosa watani wa jadi hivyo ligi haitanoga
Yanga wameniudhi japo nimefurahia ushindi. Nilibet 0 - 3 lakini wao tayari 4. Mkeka umekufa. Kwa simba nilibet wa home ashinde
Daaah wakuu tutakuwa wageni wa nani Simba
Kazi yao kutukamia mechi za Bonanza.............
Hahahaha!! Mtakuwa wageni wa Simba Ukawa, maana wanawasubiri mkawapigie magoti ili mambo yaende Sawa.