Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

kuna mtu huwa analala amesimama humu,mnaweza nisaidia kumtafuta?
 
Hahahaaa, mbona juzi mlivyofunga hukusema hivi?

fuatilia kauli zangu.Mara zote naombea simba itatue tatizo la msingi.na hadi kukubali kulitatua lazima tufungwe kwanza.kimsingi simba imeamua kuwa hivyo kwa sababu ya migogoro
 
wakikuzingua huko kwenye pressure Uwe unarudi unachungulia matokeo ya leo unapata nguvu mpya!
Nashukuru kwa ushauri mkuu ,maana topic za mle zinachangia watu kupungua umri wa kuishi.
 
fuatilia kauli zangu.Mara zote naombea simba itatue tatizo la msingi.na hadi kukubali kulitatua lazima tufungwe kwanza.kimsingi simba imeamua kuwa hivyo kwa sababu ya migogoro

Mtajijua wenyewe bwana na migogoro yenu sie tunafungua champagne kwa raha zetu...
 
Sawaka Ng'wanagandila nisanya limakobha nduhu ukushoka nazumalaga, kamuli nalindebha...

Sungwa nyanyika, u obhuta bhukali atazumalaga bhuli kwenye uko nupindila; nushindikaga ningi, Ing'wadubhi nu kwene nunshindika ong'wangalula na ha Masengwa nushindika nang'hwe uong'wamanengelo, nibhuge na nani? ...

Ng'wabheja sana Stand United FC.

CC. Masuke: Shangilia timu ya nyumbani imetakata!
 

Attachments

  • Simba 1.jpg
    13.9 KB · Views: 478
Tickets ni electronic lakin website yao ni manual!!! Hii ni Tanzania tu ambapo mpira unaisha website inaonyesha standing ya week iliyopita
 

Msiba kaka, tuna majonzi ya msiba wa jembe letu. Hongereni sana wanashinyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…