This is simba bana in manara's voice
😂😂😂😂😂😂 wako wapi wale wazee wa Umiliki mpira. Maana hiyo ndio sifa yao kuu.Asanteni Mbao hakìka mmecheza mpira mzuri sana
ndio lakini haijatosha kuwazuia kupata kipigo kutoka kwa Mbao FCKagere,okwi,salamba ,kichuya wamecheza?
Naomba matokeo mkuuWakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.
Ahsanteni.
INA maana muzungu kidevu tumfukuze?Masud Juma ndo kila kitu,anajua kuwaset wachezaji
Uuuuwiii ujue sijakuona rafiki. Yaani nakuwazia moyoni nikijua uko taifa ujue.Simba Nayo Homa Ya Mapema Mbona!!
Hiki ndo cha kufanyaINA maana muzungu kidevu tumfukuze?
Possession sio kila kitu siku hizi...mpira magoli wamemiliki kwa asilimia kubwa lakini washindi ni Mbao FcMnyama kalala. Sasa hapa najiwazia tu.
Walisema sijui jana umiliki wa mpira ulikuwaje kuwaje haya leo wao wanaongoza kwa umiliki kipi walichokipata zaidi ya kujichosha tu. Teh teh teh
Poleeeeeni nasema Poleni sana Watani zangu.
Itabidi muzungu abaki nyumbani,Mr masoud azunguke na timundio lakini haijatosha kuwazuia kupata kipigo kutoka kwa Mbao FC
Yule sijui Kagere amecheza kweli?Mnyama kalala. Sasa hapa najiwazia tu.
Walisema sijui jana umiliki wa mpira ulikuwaje kuwaje haya leo wao wanaongoza kwa umiliki kipi walichokipata zaidi ya kujichosha tu. Teh teh teh
Poleeeeeni nasema Poleni sana Watani zangu.
Hiyo ni juu yao japo nasikia hawaelewaniItabidi muzungu abaki nyumbani,Mr masoud azunguke na timu
Haaahhaha umiliki mpiŕa ulimalìzwa na kagera sugar ìle mechi ya mwisho msimu uliopîta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wako wapi wale wazee wa Umiliki mpira. Maana hiyo ndio sifa yao kuu.
Mwisho wa siku holaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tusubiri mpk September 30 ,au maaamuzi magumu yafanyike sasa ?Hiki ndo cha kufanya