Hahahaaa. Upo Mtani?INA maana muzungu kidevu tumfukuze?
Alikuwepo mbona Mkuu.MK14 hakuwepo au?
Namshukuru Allah uzima ninao. Sijui weye Mtani?W'Aleykum Salaam.
Khabar Mtani!??
Yaani Acha Tuuh ila Leo Nilitaka Ifungwe Hili Tumzibe Mdomo Manara! Anaongea Sana Hata yasotakikana.
Mcd u 2.
Jirani ngapi ngapi??? Huko...Namshukuru Allah uzima ninao. Sijui weye Mtani?
Hahaaaa. Hivyo mnamuachia mzigo wake aubebe mwenyewe leo.
Nasubiri tuone. Maana wanasemaga siku zote biashara ni asubuhi ujue.Mwezanguu Ila Sidhani Kma Tutadoda Kiasi Hiki Mechi ya Leo Itawafumbua Macho Hawa Viongozi.
Naona Kidevuu Begi Lileee!
Na Manara Aache Mdomo Lol! Leo Sijuh Ataongea Nini.
Mikia kapigwa leo. Kimoja tu. ππππJirani ngapi ngapi??? Huko...
Timu ya simba katokaje nipo hku porini uchindile
Aisee amepigwa. Lol leo kwangu kuna sherehe. Inabidi nichinje kuku usiku huu. HuuMikia kapigwa leo. Kimoja tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe na wwe ni fan wa hizo teams.Nasubiri tuone. Maana wanasemaga siku zote biashara ni asubuhi ujue.
Nyie mashabiki ndio huwa mnamtia ndimu mjue ndio maana. Ila leo ataipata pata.
Nimeona kabisa kabisa yaaani. Wakiutaka tena huu ubingwa yabidi wajipange tena wajipange na ule upande wa tigo pesa nje ya hapo watatafutana. ππππMbona umepotea???? Kumbe Simba si lolote ila itaifunga Yanga ila ubingwa kwaheri Hajar umeona
πππππππ ndio hayo hayoMambao hayoooooView attachment 872492
Hahahaaa. Ndio aiseeee.Kumbe na wwe ni fan wa hizo teams.
Nilikuchokoza makusudi maana weye mnazi wa Yanga ila utachapwa wakisoma wajipange upande wa..::::: naishia hapa usiku mwemaNimeona kabisa kabisa yaaani. Wakiutaka tena huu ubingwa yabidi wajipange tena wajipange na ule upande wa tigo pesa nje ya hapo watatafutana. ππππ
Mtani niache kwanza naangalia mustakabali wa timu yangu [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Upo Mtani?
Pole jamaani.
Hahahaaa. Unadhani na mie nilikusahau eeee.Nilikuchokoza makusudi maana weye mnazi wa Yanga ila utachapwa wakisoma wajipange upande wa..::::: naishia hapa usiku mwema
Kama kawa.Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.
Ahsanteni.