Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Namshukuru Allah uzima ninao. Sijui weye Mtani?

Hahaaaa. Hivyo mnamuachia mzigo wake aubebe mwenyewe leo.
Jirani ngapi ngapi??? Huko...
Timu ya simba katokaje nipo hku porini uchindile
 
Mwezanguu Ila Sidhani Kma Tutadoda Kiasi Hiki Mechi ya Leo Itawafumbua Macho Hawa Viongozi.

Naona Kidevuu Begi Lileee!

Na Manara Aache Mdomo Lol! Leo Sijuh Ataongea Nini.
Nasubiri tuone. Maana wanasemaga siku zote biashara ni asubuhi ujue.

Nyie mashabiki ndio huwa mnamtia ndimu mjue ndio maana. Ila leo ataipata pata.
 
Mbona umepotea???? Kumbe Simba si lolote ila itaifunga Yanga ila ubingwa kwaheri Hajar umeona
Nimeona kabisa kabisa yaaani. Wakiutaka tena huu ubingwa yabidi wajipange tena wajipange na ule upande wa tigo pesa nje ya hapo watatafutana. 😂😂😂😂
 
Nimeona kabisa kabisa yaaani. Wakiutaka tena huu ubingwa yabidi wajipange tena wajipange na ule upande wa tigo pesa nje ya hapo watatafutana. 😂😂😂😂
Nilikuchokoza makusudi maana weye mnazi wa Yanga ila utachapwa wakisoma wajipange upande wa..::::: naishia hapa usiku mwema
 
Wakuu zangu hawa Mbao si wazee wa Tunguri tu ni Wezi pia.. Nimeibiwa simu yangu.. Hapa natumia simu ya Msemaji wa Timu. Hivyo nitapotea jukwaani kwa muda. Lini nitarudi? Sijajua.

Ahsanteni.
Kama kawa.
 
Back
Top Bottom