Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Operation ondoa Wazungu Msimbazi ianze na kwa kuanzia muanze na Mzungu pori haji manara halafu afuate huyu Mzuzu Patric Aussems la siyo tabu itakuwa palepale
 
Sijui simba wametumia vigezo gani kumpa kandarasi mtu huyu.mbona amekaa kama mcheza mieleka mkubwa jaman mbona balaaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] washabik wa simbwa bana ..mtatuvunjia mbavu zetu jamaa nyie dah
 
Back
Top Bottom