Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sio siri wamemnufaisha Mbao sababu wamejua kujazana aiseee .Mapato yatakusanywa na point 3 kama kawaida.
Manara Yanga huyoHahahaaaa. Basi mfikishie manara hiko inistagiramu. 😂😂😂😂
same to me[emoji4]Mie niko Yanga aiseee
Utabiri wako ulikuwa sawa sijui uliona nini mkuu.Nasikitika kusema kwamba Leo matokeo ni Mbao fc 2 - 1 Simba...
Na mkijitahidi sanaaaaa basis ni
Mbao fc 2 - Simba 2
Jipe moyo tu Mtani sababu mwisho wa siku mkikaza sana mnapata sare. .Ila mtani September 30,hutoki
Wewewe sare nafuu kwako ujueJipe moyo tu Mtani sababu mwisho wa siku mkikaza sana mnapata sare. .
Oooh. Hapo sawa yaani hujapotea njia kabisaaa.same to me[emoji4]
Hahahaaaa, kweli ulijiamini mkuuSimba wakishinda leo, nitatembea uchi kariakoo..... Simba lazima wafungwe..Okwi, Bocco, Kagere ni magarasa tu hakuna kitu pale
Hamna kitu kama hicho Mtani.Wewewe sare nafuu kwako ujue
Rejea mwaka Jana matokeo ya mechiHamna kitu kama hicho Mtani.
Eti MzuzuNani
Lazima waende FIFA. Haiwezekani watumie 1.3 billion wafungwe na timu iliyotumia chini ya130M. Hii dharau kubwa.good game Mbao Fc and simba wote walikuwa vizuri nadhan hakuna malalamiko