Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Yaani. Ila muda bado tunao Shem.shida imeanza .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani. Ila muda bado tunao Shem.shida imeanza .....
Hahahaaa. Natamani kungekuwa na zile msg za sauti huku Jf Mtani mana nimecheka sana kukuona.Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Hata Polisi pia muda bado wanao.Yaani. Ila muda bado tunao Shem.
Sawa Mshabiki wa Polisi Tanzania. Nakazia Muda bado munao.Hata Polisi pia muda bado wanao.
Ungeichukua hiyo nazi sisi huwa tunaitafunaNimepita taifa muda huu pale njia panda kuna mshabiki wa Yanga tayari ameshavunja nazi! Jamani!!
Moja mojaMangapi mangapi jamani?
Yaani huyu jamaa anaudhi Mtani.DAVID MOLINGA "Falcao "
Hahahahahahahahah
Half time Yanga 1 - Polisi Tanzania 1
Kujifariji kupoTunaganga yajayo Mkuu.
TupoWale wa Polisi Tanzania muje sasa mpige mdomo.[emoji41][emoji41]