Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Molinga nae amesajiliwa kwa pesa ya wananchi
 
Wabongo bhn eti baada ya Mambo kuharibika kule ZESCO-Zambia wakaja namsemo kua Mpira siku zote unamatokeo Manne.

-Kufunga
-Kufungwa
-Sare
na
Kujifunga 😂
😀😀 Ila mashabiki wa Polisi mna tabu sana.
 
Hawa Maproo wa Yanga ni bure kabisa! Ukimuondoa Lamine Moro na Tshishimbi, waliobakia wote pamoja na mwalimu wao Mwinyi Zahera na mwenzake Noel Mwandila wanaifilisi tu timu. Ukimlinganisha Molinga na Makambo, ni duniani na mbinguni.

Wachezaji wengi ni average players! Ni wepesi wa kukamiwa na timu yoyote ile ya ligi kuu. Huwezi kuwalinganisha na wachezaji wa Simba ambao ni wapambanaji mwanzo mwisho. Tukipata ushindi kwenye mechi hii, basi tutakua tumebahatisha tu.
 
Nashauri aingie Ally Ally kuongeza nguvu
 
Kweli mkuu ni bora Mapinduzi Balama kuliko maproo wengi waliopo Yanga!

Back
Top Bottom