Wabongo bhn eti baada ya Mambo kuharibika kule ZESCO-Zambia wakaja namsemo kua Mpira siku zote unamatokeo Manne.Waje tu sababu huwa mpira una matokeo matatu siku zote.
-Kufunga
-Kufungwa
-Sare
shedaya mjukuu wangu nikiona hako katabasamu hapo kwa avatar mimi hoiKila la kheri timu ya wananchi.
"Daima mbele nyuma mwiko"
[emoji2]Yaani huyu jamaa anaudhi Mtani.
Sawa.Tupo
Hamsini kwa Hamsini mana saa nyingine naona kama wachezaji nao ni wabovu pia..Hiv huu sio mda sahihi wa zahera kwenda kutafuta changamoto nyingine za kisoka kwingine?
😀😀 Ila mashabiki wa Polisi mna tabu sana.Wabongo bhn eti baada ya Mambo kuharibika kule ZESCO-Zambia wakaja namsemo kua Mpira siku zote unamatokeo Manne.
-Kufunga
-Kufungwa
-Sare na
Kujifunga 😂
Ana mwili mkubwa ambao hauna faida.Yaani huyu jamaa anaudhi Mtani.
yanga ni baridiMko wapi Yanga wenzangu mpira ndio ushaanza huku jamaani.
Unaeza lia kwa akili zake na maamuzi anayoyafanya saa ingine.[emoji2]
Hivi huyu Molinga mnamuelewa jamaani? [emoji848][emoji848][emoji848]
Huyu ni mchezaji wa kiwango cha Nyundo ya TaboraMolinga nae amesajiliwa kwa pesa ya wananchi
Hakika Mtani. Angalia kama hii dkk ya mwisho sa sijui alikuwa anawaza nini badala ya kufunga bao.Ana mwili mkubwa ambao hauna faida.
Hamsini kwa Hamsini mana saa nyingine naona kama wachezaji nao ni wabovu pia..
Hawa Maproo wa Yanga ni bure kabisa! Ukimuondoa Lamine Moro na Tshishimbi, waliobakia wote pamoja na mwalimu wao Mwinyi Zahera na mwenzake Noel Mwandila wanaifilisi tu timu. Ukimlinganisha Molinga na Makambo, ni duniani na mbinguni.
Wachezaji wengi ni average players! Ni wepesi wa kukamiwa na timu yoyote ile ya ligi kuu. Huwezi kuwalinganisha na wachezaji wa Simba ambao ni wapambanaji mwanzo mwisho. Tukipata ushindi kwenye mechi hii, basi tutakua tumebahatisha tu.
Alisema Kikwete.yanga ni baridi