Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL): Yanga SC 3-3 Polisi Tanzania

Inakuwaje walinzi wa amani badala ya kuwalinda Wananchi wao ndo wanawafanyia fujo wananchi? 1 - 3.

Namwona komandoo kipensi Papaa Zaa hela anatoa macho tu!😁😁😂👊
 
tatizo la YANGA ni ZAHERA sio wachezajiii, fukuza wote kuanza moja sio ujinga
 
Back
Top Bottom