Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂 Haya mambo huwa yanakera saa ingine ujue Mtani.Alisikika Mwananchi mwenye hasira kali akisema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Haya mambo huwa yanakera saa ingine ujue Mtani.Alisikika Mwananchi mwenye hasira kali akisema
Mpe habari kwamba Molinga kaanza kufunga hivyo ajipangee.
Hakika Mkuu. Japo huwa tunanyong'onyea saa ingine ujue.
Kweli kabisa.. na limewapa point 6. Vyura bhanagoli la Molinga, ndio goli bora toka ligi ianze, bonge ya goli
Alisikka Mzamin wa Yanga akisemaMolinga asipopata majeraha au adhabu ya kukosa mechi ligi kuu, atafunga magoli 20+
Naona unajifariji teh teh teh timu ya wananchi toka viti maalumu yatobolewa ligi kuugoli la Molinga, ndio goli bora toka ligi ianze, bonge ya goli
Vipi lile la Chilunda au la Ajibgoli la Molinga, ndio goli bora toka ligi ianze, bonge ya goli
Itaiva lini sasa wengine tuna njaa ujue.Unadhani tunakataa Mtani. Ila Ligi bado mbichi mjue.
Hahahahah we unafaa kufungua kanisa.. una imani kubwa Sanatimu zote zinazoanza kwa kusua sua mara nyingi zinakuwa bingwa ". YANGA mwaka huu ubingwa ni wakwetu
Mara ya mwisho mmetufunga mwaka gani?Yaani. Najua ingekuwa furaha sana kwenu.
Hiyo ya Simba na Yanga huwa haitabiriki na si ajabu tukawakalisha.
Alisikika mgonjwa mwenye matumaini akisematimu zote zinazoanza kwa kusua sua mara nyingi zinakuwa bingwa ". YANGA mwaka huu ubingwa ni wakwetu
Yanga wanashindana na biashara united kuwa wa mwisho.Yanga 3-3 Polisi. Nafasi ya 19.
Ucjali mpendwa utakaa sawaIla Yanga. Daah.
Mwisho wa ligi Mtani.Itaiva lini sasa wengine tuna njaa ujue.
Kumbuka Mkuu.Mara ya mwisho mmetufunga mwaka gani?
🙏🙏Ucjali mpendwa utakaa sawa
goli la Molinga, ndio goli bora toka ligi ianze, bonge ya goli