Acha aende, tena ametoroka. Ameona Ngasa umri unazidi kwenda na bado ana deni benki! Hongera Samata, hongera Simba kwa kuruhusu wachezaji!Msuva ametorokea Sauzi leo alfajiri eti amepata timu, hivyo msione hiyo listi mkadhani amepumzishwa. Hasha!! Akili ya wachezaji wetu wanaijua wenyewe. Bado kana mkataba na Yanga, sijui watakasaidia kulipa?
kandambili mtapigwa tu,hakuna jinsi.
hata wapange kikosi gani Leo yebo yebo watapigwa tu
du hii ni pale adui wako anapogeuka kuwa rafiki...hongereni kandambili!!
sasa ngasa kapewa hiyo award kwa kazi gani?
Vaa jezi ya YANGA na uishangilie. Hutaki tunajifungisha kwa AZAM.,, HAhaha
hata wapange kikosi gani Leo yebo yebo watapigwa tu
kushabikia yanga hilo haliwezekani kamwe....
Jifungisheni tu.
Uwanja haujatulia kabisa kutokana na mvua, hakuna kitu huu mpira.
mechi ihairishwe.
uwanja mbovu
Mechi ichezwe hivyo hivyo, Azam apate pointi zake 3 anazozitaka.
Hawa azam wananiangusha bado tu hawajapata bao?!!#
Hawa azam wananiangusha bado tu hawajapata bao?!!#
bakhresa kawapa shilingi ngapi??