Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Ligi Kuu ya Vodacom: Yanga Afrika vs Azam, 6 Mei 2015

Msuva ametorokea Sauzi leo alfajiri eti amepata timu, hivyo msione hiyo listi mkadhani amepumzishwa. Hasha!! Akili ya wachezaji wetu wanaijua wenyewe. Bado kana mkataba na Yanga, sijui watakasaidia kulipa?
Acha aende, tena ametoroka. Ameona Ngasa umri unazidi kwenda na bado ana deni benki! Hongera Samata, hongera Simba kwa kuruhusu wachezaji!
 
Uwanja haujatulia kabisa kutokana na mvua, hakuna kitu huu mpira.
 
Hawa azam wananiangusha bado tu hawajapata bao?!!#
 
Back
Top Bottom