ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Na stoke yako ulikuwa nayo Meza panadol Simba [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Shemela niko nasubiri Heineken zanguHongera sana shemela,nilikuambia nini wakati ligi inaanza,kama unakumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera wanaSimba ... Tumeweka historiya !!Na stoke yako ulikuwa nayo Meza panadol Simba πͺπͺπͺπͺ
Una kichaaa weweWee mama si mshabiki kindakindaki wa Yanga wewe?
Umefuata nini huku?
Inabidi mjiandae zaidi muendako ni kugumu zaidi ya hapaAsanteeeeee
haha Mimi ni shabiki wa Simba mkuu; tupo Pamoja.Na stoke yako ulikuwa nayo Meza panadol Simba πͺπͺπͺπͺ
Kuna Watu Wanapata Tabu
Wamefungwa IRINGA wamefungwa Dar
Cha mbwa au ng"ombe?Una kichaaa wewe
@Joseverest vipi mzeee, najua sasa hivi umekua mnyongeeeeekaribuni kwa Live updates... Wengine pia mnaweza kuongezea
Kila la heri As vita Club
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Dah! Umenifanya mwili usisimke Mkuu na kukumbuka mbali kidogo. Nikiwa uwanjani Simba inakipiga hizi kelele za hivi zikianza huwa najawa na hamasa kubwa sana na mara zote mwili huwa UNASISIMKA!
Kumbe mwenzetu sorry mkuu πππhaha Mimi ni shabiki wa Simba mkuu; tupo Pamoja.
Zinakuja shemela,tuma no ya simu au zipitie kuleShemela niko nasubiri Heineken zangu